Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ALIYETOKA YANGA KWENDA SIMBA, ARUDI TENA YANGA
    KITAIFA

    ALIYETOKA YANGA KWENDA SIMBA, ARUDI TENA YANGA

    ChikaoBy ChikaoJuly 31, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Queens, Precious Christopher amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga Princess wenye kipengele cha kuongeza kama atafanya vizuri.

    Msimu uliopita Precious aliichezea Simba Queens akifunga mabao mawili na asisti tatu kwenye mechi 18 za Ligi Kuu alizocheza.

    Kwa mara ya kwanza Precious alitambulishwa Yanga msimu wa 2021 akitokea kwao Nigeria na akaicheza kwa misimu miwili na uliopita akaenda kwa wapinzani wao Simba.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHARAMBEE STARS YAPATA PIGO CHAN, BAADA YA BAJABER KUSAINI SIMBA
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO IJUMAA TAREHE 1-8-2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.