Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป KLABU YA SIMBA YASITISHA MCHAKATO WA KUMPA MKATABA KHADIM DIAW
    KITAIFA

    KLABU YA SIMBA YASITISHA MCHAKATO WA KUMPA MKATABA KHADIM DIAW

    ChikaoBy ChikaoJuly 31, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC na Anthony wa Namungo FC

    Uamuzi huo umekuja baada ya kocha Fadlu Davids kutoridhishwa na kiwango chake, na Khadim Diaw alikuwa alishakamilisha makubaliano binafsi na Simba SC

    Diaw ni mchezaji wa Mamelod Sundowns ambaye alikuw anakipiga kwenye klabu ya Al Hilal kwa mkopo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFIFA YAWAONDOLEA SINGIDA BLACK STARS ADHABU YA KUTOSAJILI
    Next Article ANDAMBWILE BADO YUPO SANA JANGWANI

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.