Jicho la kiungo mkabaji wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Ahmed Bakari ‘Pipino’ @_ahmed_pipino limevimba baada ya kupigwa kiwiko katika mchezo wa jana wa Stars…
Author: Chikao
MARCIO Maximo, Kocha Mkuu wa KMC ameweka wazi kuwa wanatambua namna ushindani ulivyo ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC hivyo muda wa maandalizi…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao watakuwa na kazi kupambana kwenye mashindano…
YANGA SC itavuna kiasi cha shilingi bilioni 3.3 kutokana na kuongeza mahusiano na kampuni ya Haier wakisaini mkataba wa miaka mitatu rasmi Agosti 7 2025 katika…
Baada ya Manchester United kutoa ofa ya kumhitaji kiungo Carlos Baleba, klabu yake yake Brighton imeweka dau la pauni milioni 100 (zaidi ya Tsh Bilioni 320)…
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Rahim Shomary ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Ghazl El-Mahalla F.C ya Ligi kuu Misri aktokea KMC FC ya ligi kuu…
Bao la dakika ya 89 lililofungwa na beki mahiri Shomari Kapombe limeipa Taifa Stars ushindi wa pili mfululizo katika Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 07, 2025
MRITHI wa kitambaa cha unadhoa ndani ya kikosi cha Simba SC kwa sasa anatafutwa mara baada ya beki huyo wa kushoto kutambulishwa Jangwani. Zimbwe Jr alikuwa…
Klabu ya Dodoma Jiji imemsajili kiungo wa Tabora United Mkongomani Nelson Munganga. Munganga amejiunga na kikosi hicho kwa miaka miwili na Mkuu wa Idara ya Habari…