Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป BALEBA ATAKA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED
    KIMATAIFA

    BALEBA ATAKA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED

    ChikaoBy ChikaoAugust 7, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    baleba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baada ya Manchester United kutoa ofa ya kumhitaji kiungo Carlos Baleba, klabu yake yake Brighton imeweka dau la pauni milioni 100 (zaidi ya Tsh Bilioni 320) kwa kiungo huyo lakini United wanahisi kwamba dili hilo linapaswa kukaribia pauni milioni 70 (zaidi ya Tsh Bilioni 230).

    Baleba anaripotiwa kuwa tayari kujitolea kusaidia kufanikisha uhamisho huo kwa kuwaomba Brighton kupunguza ada ya uhamisho, Baleba ameripotiwa kutaka kujiunga na Manchester United.

    Mchezaji anafurahia kuona jinsi hatua hii inayofuata kwa United inavyoendelea kwani Brighton wanajua jinsi ya kuweka thamani kutoka kwa kila mchezaji wanayemuuza.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMTANZANIA RAHIM SHOMARY ATAMBULISHWA RASMI MISRI
    Next Article YANGA SC NA HAIER FAMILIA, BILIONI 3.3 KUVUNWA

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.