Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Man City vs Liverpool, Real Madrid vs Rayo – Bashiri, Shinda, na Furahia Ukiwa na Meridianbet
    KIMATAIFA

    Man City vs Liverpool, Real Madrid vs Rayo – Bashiri, Shinda, na Furahia Ukiwa na Meridianbet

    ChikaoBy ChikaoNovember 9, 202503 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Man City vs Liverpool, Real Madrid vs Rayo – Bashiri, Shinda, na Furahia Ukiwa na Meridianbet
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Leo hii ukiwa na Meridianbet unaweza ukabadilisha maisha yako kirahisi sana kwani Meridianbet wamekupa nafasi kubwa kwa kukuletea mechi zote za ligi mbalimbali ambazo pia zina machaguo zaidi ya 1000.

    Tukianza na LALIGA kule Hispania itaendelea ambapo bingwa wa mtetezi wa ligi Real Madrid atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 10, huku takwimu ikionesha kuwa msimu uliopita Real waliondoka na pointi 4. Je Alonso kuchukua ushindi huu na kuendelea kukaa kileleni?. Beti hapa.

    Vilevile Real Betis atakiwasha dhidi ya Valencia kule ugenini huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Kila mtu anataka ushindi siku ya leo. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani akupatia mkwanja?. Suka jamvi hapa.

    Nao Celta Vigo wao watawaleta nyumbani kwao vijana wa Hans Flick  FC Barcelona ambao wanashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Barca wanahitaji ushindi siku ya leo wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Je mwenyeji ataweka kikwazo kwenye kupata ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.

    Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

    Italia SERIE A, ambapo bingwa mtetezi Napoli atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Bologna ambao wapo nafasi ya 5 hadi sasa wakiwa wameshinda mechi 5 pekee hadi sasa. Tofauti yao ni pointi 4 pekee. Beti hapa.

    Pia naye AS Roma ambaye anaitaka Scudetto msimu huu, wataumana dhidi ya Udinese huku msimu uliopita waliondoka na ushindi mnono kwenye mechi mbili zote walizokutana. Je Roma kuendeleza ushindi wao?. Jisajili hapa.

    Inter Milan nao watakuwa kibaruani dhidi ya Lazio ambao mechi iliyopita walishinda halikadhalika kwa mwenyeji wake. Mtanange wa mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii beti yako unaiweka kwa nani?. Bashiri hapa.

    Pia ligi pendwa Duniani, yaani EPL, inatarajiwa kuendelea kwa michezo mingi ya pesa bashiri mechi ya Aston Villa vs AFC Bournemouth huku mechi ya mwisho kukutana, Villa aliondoka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 pekee. Suka jamvi lako mechi hii.

    Pia kule katika dimba la Selhurst Park kutakuwa na mtanange mkali kati ya Crystal Palace vs Brighton ambapo hawa wawili hawajapishana sana pointi kwani mpaka sasa ni pointi 1 pekee inayowatofautisha. Msimu uliopita, Palace aliondoka na ushindi mechi zote mbili. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.

    Na mechi kali kabisa wikendi hii itakuwa pale Etihad ambapo Manchester City ataumana dhidi ya Liverpool ambapo msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana walishinda zote. Safari hii Pep Guardiola anataka kulipa kisasi na kuendelea kusalia nafasi ya 2. Je nani kushinda mechi hii?. Bashiri hapa.

    Kule Ufaransa LIGUE 1 kitawaka sana Metz atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Nice ambao wametoka kupoteza mechi iliyopita. Mwenyeji yeye pia alipoteza mechi yake iliyopita. Hivyo leo hii ushindi ni wa muhimu sana kwa wote. Je anaweza kuondoka na ushindi?. Beti hapa.

    Strasbourg atakuwa uso kwa uso dhidi ya Lille ambao wapo nafasi ya 4 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 7. Tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Unangoja nini suka jamvi lako hapa na ushinde.

    Bingwa mtetezi PSG yeye atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Lyon ambao msimu uliopita walipokutana, vijana wa Enrique walishinda mechi zote mbili walizokutana. Je sasa ni wakati wa Lyon kulipa kisasi dhidi ya wababe wa ligi hiyo?. Bashiri hapa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTUZO ZA CAF RASMI KUTOLEWA MOROCCO
    Next Article KUMBE TAMBO ZA JKT TANZANIA NDIO ZILIWAPONZA

    Related Posts

    HILI HAPA DAU LA KUMPATA COLE PALMER

    April 25, 2026

    PRESHA YA KUUKOSA UBINGWA YATAWALA REAL MADRID

    April 25, 2026

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    YANGA, AZAM FC USO KWA USO KUSAKA FAINALI YA MUUNGANO

    SIMBA YASHIKA NAFASI YA 19 DUNIANI, IPO LEVO ZA MADRID

    HILI HAPA DAU LA KUMPATA COLE PALMER

    TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI TAREHE 25.4.2025

    PRESHA YA KUUKOSA UBINGWA YATAWALA REAL MADRID

    TAREHE PAMOJA NA UWANJA AMBAO DABI YA KARIAKOO ITAPIGWA

    SIMBA SC YAWINDA MAJIBU KWA MLANDAGE, SI KISASI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.