Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Majeraha Yamrejesha Kylian Mbappe Real Madrid
    KIMATAIFA

    Majeraha Yamrejesha Kylian Mbappe Real Madrid

    ChikaoBy ChikaoNovember 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mbappe
    FILE PHOTO: Soccer Football - Euro 2024 - Group D - France v Poland - Dortmund BVB Stadion, Dortmund, Germany - June 25, 2024 France's Kylian Mbappe celebrates scoring their first goal REUTERS/Leon Kuegeler/File Photo
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappé ameondoka kwenye kambi ya Timu ya Taifa na kurejea kwenye klabu yake kwa ajili ya kufanyiwa vipimo zaidi ya jeraha lake.

    Mbappe licha ya kucheza mchezo wa jana dhidi ya Ukraine na kuandika historia ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kwa karne ya 21 kufunga magoli 400 katika michezo 537 bado anasumbuliwa na jeraha la kifundo cha mguu wake wa kulia.

    Mshambuliaji huyo ni rasmi ataukosa mchezo unaofuata wa Nchi yake dhidi ya timu ya Taifa ya Azerbaijan siku ya Jumapili.

    Real Madrid
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleAzam FC Yapania Kufanya Mageuzi, CEO Mpya Ateuliwa na Msaidizi Wake
    Next Article Simba Yapoteza Mbele ya Petro de Luanda, Yaburuza Mkia Kundi la CAFCL

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.