Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MSHAHARA WA FEISAL SALUM UNATAJWA KUWA TISHIO
    KITAIFA

    MSHAHARA WA FEISAL SALUM UNATAJWA KUWA TISHIO

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    feisal
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa tishio kutokana na ukubwa wake na thamani ya kiungo huyo mzawa.

    Ilikuwa inatajwa kuwa Yanga SC na Simba SC zilikuwa kwenye hesabu za kuwania saini ya kiungo huyo. Simba SC walikuwa wanapewa nafasi kubwa kuipata saini yake jambo ambalo limekwama mazima kutimia.

    Taarifa zinaeleza kuwa Azam wamempa Feisal hela binafsi ya kusaini mkataba mpya (Sign on fee ya Tsh 800m cash). Mshahara wa Tsh 50m (take home), kwa mwezi hii ni baada ya makato na kodi. Ubalozi wa Azam Pesa ambapo kwa mwaka atalipwa Tsh 200m. Lakini pia Azam wame-activate kipengele cha mauzo yake ‘buyout clause’ yake kutoka $500,000 na sasa inatajwa ni $800,000.

    Ikumbukwe kwamba Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge aliwambia viongozi wake wasimuuze Fei Toto ndani ya dirisha hili. Kocha huyo aliwambia wamzuie kiungo huyo kwa gharama yoyote kwani kikosi chake kipya kitajengwa kupitia Feisal.

    Azam FC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MCHANGO WA CCM WA SHILINGI MILIONI 100
    Next Article POGBA KUREJEA UWANJANI, AANZA MATIZI NA AS MONACO

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.