KITAIFA

AZAM FC KAMA MANCHESTER UNITED YATOLEWA KOMBE LA FA

Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (kombe la FA 🇹🇿) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora.

 

FT: Azam FC 1-1 Mbeya City

⚽ 90+4’ Yahya Zayd

⚽ 65’ Lukandamila

 

PENALTI:

Azam FC: ✅✅❌❌

Mbeya City: ✅✅❌✅✅

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button