KITAIFA
MWENDA AMEANZA MCHEZO WA KWANZA YANGA
BEKI Israel Mwenda wa Yanga ameanza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara akiwa na uzi wa Yanga baada ya kuibuka hali akitokea Singida Black Stars.
Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Boka, Dickson Job ni nahodha wa kikosi cha kwanza akiwa ni beki kiongozi.
Bacca, Khalid Aucho, Israel Mwenda, Mudathir Yahya, Dube, Aziz Ki, Clement Mzize hawa wapo kikosi cha kwanza.
Kassim, Kibabage, Nondo, Mkude, Shekhan, Maxi, Abuya, Clatous Chama, Pacome na Musonda wameanzia benchi.
Mchezo wa kwanza wa ushindani kwa Mwenda kuanza kikosi cha kwanza ilikuwa dhidi ya Copco, Uwanja wa KMC, Complex alitoa pasi mbili za mabao na huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwenye ligi.