KITAIFA
HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOCHEZA NA SIMBA ROBO FAINALI, SHIRIKISHO AFRIKA
Baada ya kumaliza kileleni mwa Kundi A wawakilishi wa Tanzania, Simba Sc atakutana mmoja kati ya washindi wa pili wa makundi B, C, na D ambao ni Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory na Al Masry ya Misri.
Timu zilizofuzu hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika.
Kundi A
1. 🇹🇿 Simba Sc
2. 🇩🇿 CS Constantine
Kundi B
1. 🇲🇦 RS Berkane
2. 🇿🇦 Stellenbosch
Kundi C
1. 🇩🇿 USM Alger
2. 🇨🇮 Asec Mimosas
Kundi D
1. 🇪🇬 Zamalek
2. 🇪🇬 Al Masry