KIMATAIFA

MAN UNITED WAMSHAWISHI DAVIES ASIENDE MADRID

Manchester United wako kwenye harakati za kumshawishi beki wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies, kuwachagua wao badala ya Real Madrid pale mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.

Kwa miezi kadhaa, ilionekana kwamba nyota huyo wa Bayern mwenye umri wa miaka 23 alikuwa tayari kuhamia Real Madrid wakati wa kiangazi cha 2025…lakini Manchester United wanataka kubadili upepo kwa kupanda dau litakalomfanya Davies kulipwa kiwango ambacho hakutegemea.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button