KIMATAIFA

Lamine kuwa mchezaji wa bei mbaya katika historia ya soka

Miamba ya Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG) inayonolewa na kocha wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique, ipo katika mchakato wa kuimarisha kikosi na hivyo kuhitaji kwa udi na uvumba huduma ya nyota wa Barcelona, Lamine Yamal.

Habari zikufikie tu kuwa klabu hiyo inapanga kuishangaza dunia kwa kuvunja benki na kumfanya Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 17 kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika historia ya soka.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button