KIMATAIFA

ANCELOTTI: MARA YA MWISHO WALIPOTUFUNGA 4 TULIBEBA UBINGWA

Baada ya kipigo cha 4-0 jana kwenye mchezo wa ligi kuu Hispania kutoka kwa watani zao Barcelona, kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kuwa kufungwa huko hakuwaondoi kwenye mbio za kuwania mataji hata kidogo.

“Mara ya mwisho tulivyofungwa 4-0 kama hivo tulikuja kubeba Ubingwa” – alisisitiza Ancelotti.

Baada ya kipigo cha jana hadi sasa Madrid imecheza michezo 11 kwenye La Liga ikiwa nafasi ya pili na alama 24, alama 6 nyuma ya Barcelona wanaoongoza msimamo.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button