Kipaji ni moja kati ya kitu kinachoweza kukutajirisha au kukupa fedha nyingi pale unapokitumia vyema na kujiboresha zaidi, hapa tuzungumzie ulimwengu wa soka na sajili za wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa wa bei ghali zaidi.
10: Cristiano Ronaldo
Usajili wake wa kutoka Real Madrid kwenda Juventus ulighalimu Eulo 117 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 34.4
09: Jack Grealish
Usajili wake wa kutoka Aston Villa kwenda Man City ulighalimu Eulo 117.5 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 35.9
08: Antoine Griezmann
Usajili wake wa kutoka Atletico kwenda Barcelona ulighalimu Eulo 120 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 35.6
07: Eden Harzard
Usajili wake wa kutoka Chelsea kwenda Real Madrid ulighalimu Eulo 120 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 36.6
06: Enzo Fernandez
Usajili wake wa kutoka Benfica kwenda Chelsea ulighalimu Eulo 121 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 37
05: Joao Felix
Usajili wake wa kutoka Benfica kwenda Atletico ulighalimu Eulo 127 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 38.8
04: Ousmane Dembele
Usajili wake wa kutoka Dortmund kwenda Barcelona ulighalimu Eulo 135 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 41.2
03: Philippe Coutinho
Usajili wake wa kutoka Liverpool kwenda Barcelona ulighalimu Eulo 135 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 41.2
02: Kylian Mbappe
Usajili wake wa kutoka Liverpool kwenda Barcelona ulighalimu Eulo 180 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 54.3
01: Neymar Jr
Usajili wake wa kutoka Barcelona kwenda PSG ulighalimu Eulo 222 Milion, kwa kitanzania ni zaidi ya Bilioni 67.2