Nani alikuambia mpaka wikiendi ndio utaweza kushinda mamilioni? Jibu ni hapana kwani michezo mikali inapigwa kila siku na leo michuano ya Uefa Europa League inaendelea kupigwa na unaweza kupiga maokoto kupitia michezo inayopigwa leo.
Michuano ya Europa League siku ya ligi itapigwa michezo zaidi ya saba ambayo kwa asilimia kubwa imepewa Odds za kutosha na wababe wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Tembelea tovuti yao leo uweze kuweka mkeka wako na kuibuka na ushindi.
Manchester United leo watakua katika lao la nyumbani Old Trafford wakiikaribisha klabu ya Fc Twente kutoka nchini Uholanzi, Mchezo huu utakua na hisia ya aina yake kwani kocha wasasa wa Man United Erik Ten Hag amewahi kucheza klabu hiyo.
Mchezo mwingine wa kibabe ambao utapigwa leo ni kati ya klabu ya Galatasaray ambao watakua nyumbani kumenyana na klabu ya PAOK kutoka nchini Ugiriki, Mchezo ambao Galatasarayy wamepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
Klabu ya Az Alkamaar kutoka nchini Uholanzi leo watakua nyumbani kukipiga dhidi ya klabu ya Elfsborg, Mchezo ambao umepewa Odds nono pale Meridianbet hivo unaweza kuweka ubashiri wako kupitia mchezo huu ushinde kitita.
Klabu ya Dynamo Kyiv kutoka nchini Ukraine leo itashuka dimbani kuikaribisha klabu ya Lazio kutoka nchini Italia mchezo ambao utakua mkali, Kwani klabu yeyote kati ya timu hizi inaweza kuondoka na matokeo katika mchezo huu.