KITAIFA

MSIGWA AWAKABIDHI SIMBA, MILIONI 10 ZA MAMA

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Simba Queens ikiwa ni zawadi kwa kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kuwania kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake ukanda wa CECAFA.

Akikabidhi fedha hizo kwa niaba ya Rais, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema pamoja na kuwa hawakurudi na kombe, anatambua jitihada na ubora wao akiamini kuwa itafanya vizuri Zaidi katika mashindano yajayo….

Nao wachezaji wa Simba Queens ameahidi kuchukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na kushinda mashindano yajaoyo ya CECAFA …

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button