“Mchezaji Yusuph Kagoma haruhusiwi kucheza timu yoyote kutokana na mkabata wake unasoma timu mbili, Hivyo mpaka sasa shauri letu lipo chini ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji mpaka sasa hatujasikilizwa.”
“Mpaka sasa tumewalipa Singida Fountain Gate Fc shilingi milioni 60 zikiwa na mchanganuo kwa wachezaji wawili ambao ni Yusuph Kagoma milioni 30 pamoja na Fedha za Nickson Kimbabage milioni 30 ambazo zilikuwa ni deni.”
Simon Patrick, Mwanasheria wa Yanga SC