“Mpaka sasa tunaongea Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa Yanga Sc tulimsaini miaka mitatu na tukamtumia hadi tiketi ya ndege kutoka Kigoma nakuja Dar es salaam kuungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya msimu huu 2024 – 2025”
“Yanga Sc ilimnunua Yusuph Kagoma kutoka Singida Fountain Gate Fc kwa thamani ya milioni 30 na Malipo yao yalikuwa kulipa kwa awamu na Malipo hayo tulifanya kwa wakati na huyo mchezaji ni halali kuwatumikia Yanga SC ”
Mwanasheria wa Yanga SC, Simon Patrick