KITAIFA

WAJUE WAPINZANI WA YANGA HATUA YA PILI CAFCL: CBE FC

Klabu ya CBE FC inajulikana kama Commercial Bank of Ethiopia , msimu huu ndio mara ya kwanza kushiriki michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE .

Hii miamba ya CBE ilianzishwa mwaka 1982 , miaka 42 mpaka sasa kwenye historia ya kuanzishwa kwa klabu hii na makao yao makuu yapo Adis Ababa ….. Msimu uliopita walifanikiwa kuwa mabingwa wa ligi ya Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή.

Klabu ya CBE wamefanikiwa kushiriki miachuano ya CAF CONFEDERATION CUP mwaka 2005 na 2010 ndani ya mara zote walitolewa hatua ya kwanza .

Wanakutana na klabu Yanga baada ya kuwatoa wababe kutoka ligi ya Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ Villa kwa Agg ya 3-2 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza .

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button