KITAIFA
CAF YAVIPUNGUZIA MACHUNGU VILABU VINAVYOCHEZA MICHEZO YA AWALI YA VILABU BARANI AFRICA
CAF itavipatia kila timu inayocheza michezo ya awali ya Ligi ya Mabingwa Africa na Kombe la Shirikisho dola za Kimarekani elfu 50,000 sawa na shilingi milioni 135,311,542.40, pesa hizo zitasaidia kupunguza mzigo kidogo kwenye bajeti za malazi na usafiri.