Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili Kiungo Mshambulia, Clatous Chota Chama raia wa Zambia akitokea Klabu ya Simba
Chama anajiunga na Yanga akiwa Mchezaji Huru baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Simba ambayo ameitumikia katika vipindi viwili tofauti