Share Facebook Twitter LinkedIn WhatsApp Pinterest Email Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano na Klabu ya Bologna ya Italia kwa ajili ya kumnunua mchezaji Riccardo Calafiori. Riccardo anaondoka Bologna kwa kitita cha Euro Milioni 45