KITAIFATETESI ZA USAJILI
SIMBA WANAIWINDA SAINI YA MAYELE, MPUNGA UNAHITAJIKA
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba Mo Dewj,amewasiliana na mshambiliaji wa Pyramid,Fiston Kalala Mayele,na kumwambia anahitaji huduma yake Msimbazi.
Mayele amemjibu Tajiri kuwa Pale Pyramid analipwa Pesa nyingi sana hivyo kuna ngumu wa kukamilisha Jambo Hilo.
Tajiri amemwambia Mayele kuwa atamkatia ticket ya Ndege wakutane Dubai ili kufanya mazungumzo.
Ila Mayele amegoma na Kusema kwa sasa ni ngumu kwenda Dubai kwani ligi ya Misri bado inaendelea.