Taarifa za uhakika kabisa zinaeleza kuwa Wydad Casablanca inakaribiaaa kumtangaza kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena kuwa kocha wao Mkuu.
Kocha huyo alikuwa akiwaniwa pia na ndugu zao Raja Casablanca kwenda kuchukua nafasi ya Josef Zinnabuer.