Klabu ya Mouloudia Algiers ya Algeria imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Azam Fc, Kipré Zunon Junior Kaa mkataba wa miaka minne utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2028.
Azam Fc itapokea kitita cha dola 300,000 (takribani milioni 797) kwa mauzo ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 raia wa Ivory Coast.