“Watu wengi wamekuwa wakishangazwa na jambo la klabu ya Yanga SC kumtambulisha Clotaus Chama bila uzi wa Yanga”.
“Ikumbukwe hata klabu ya Real Madrid pia ilimtambulisha Kylian Mbappe na hakuna picha hata moja rasmi inayoonyesha Mbappe akiwa na Uzi rasmi wa Realmadrid”.
“Hii inammanisha kwamba Kila taasisi ina namna ya kukamilisha mambo yake”.
Ally Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC