Aliyekuwa kocha wa Simba Sc, Abdelhak Benchikha ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria kwa mkataba wa mwaka mmoja. Benchikha (60) raia wa Algeria alikuwa kocha wa Simba Sc kati ya Novemba 2023 mpaka Aprili 2024.
BENCHIKHA KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA SASA NI KOCHA MKUU WA KLABU YA JS KABYLIE
No Comments1 Min Read