KITAIFA

AZAM YASAJILI WA KIUNGO AKITOKEA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA

Klabu ya Azam imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Mamadou Samake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kwa miamba ya Algeria, CR Belouizdad.

Samake (24) raia wa Mali anafunga rasmi usajili wa Wanalambalamba hao kwenye dirisha hili kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 na anatarajia kujiunga na kambi ya timu hiyo nchini Morocco muda wowote kuanzia sasa.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button