KIMATAIFA
NIGERIA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI DHIDI YA AFRIKA KUSINI, ZAMBIA YACHAPWA

Nigeria imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Afrika Kusini katika dimba la Godswill Akpabio, Uyo Nigeria kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026.
FT: Nigeria
Afrika Kusini
Dele-Bashiru 46’
Themba Zwane 29’
FT: Morocco
Zambia
Ziyech 6’
Ben Seghir 67’
Chilufya 80’
FT: Ivory Coast
Gabon
Fofana 36’