England imepoteza mechi yake ya mwisho kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Island katika dimba la Wembley Stadium (London).
FT: England 0-1 Iceland
Thorsteinsson 12’
Wiki moja kabla ya kuanza kwa EURO 2024 Ujerumani imehitimisha maandalizi ya michuano hiyo kwa ushindi dhidi ya Ugiriki katika Borussia-Park (Mönchengladbach)
FT: Ujerumani 2-1 Ugiriki
Havertz 56’
Gross 89’
Masouras 24’