Mwanariadha raia wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya tatu kwenye mbio za Daegu [ Daegu Marathon ] zilizofanyika leo nchini Korea Kusini.
Simbu ametumia masaa 2:07:55 kumaliza mbio hizo Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy mutai ; 2:07:40 na tatu Alphonce Simbu ; 2:07:55.
Baada ya hapa ataanza maandalizi ya mbio za kawaida kama sehemu ya kujiandaa na Olympic 2024 nchini Ufaransa
Previous ArticleKIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI NCHINI
Next Article MANARA AJIBIZANA NA MWAMAUZI ALIYEWAUA YANGA SAUZI
Related Posts
Add A Comment