Manchester City imetinga fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika dimba la Wembley kwenye nusu fainali.
FT: MAN CITY 1-0 CHELSEA
Bernardo Silva 84’
Manchester City imetangulia nusu fainali kumsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Coventry dhidi ya Manchester United itakayopigwa kesho katika dimba la Wembley.