Safari ya Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika Ligi ya Mabingwa Afrika imeishia Nusu Fainali baada ya kufungwa na Espérance de Tunis ya Tunisia goli 1-0
Mamelodi ambayo iliitoa #Yanga kwa penati katika Robo Fainali, imefungwa jumla ya magoli 2-0 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza ilipoteza pia
Hivyo, Fainali inatarajiwa kuzikutanisha #AlAhly ya Misri dhidi ya Espérance de Tunis mnamo Mei 18, 2024 kisha marudio ni Mei 25, 2024