MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Kariakoo Dabi Yanga wameibuka na ushindi kwa mabao 2-1 Simba ikiwa ni mzunguko wa pili.
Yanga walianza kufunga mapema kupitia kwa Aziz KI dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na mwamba Joseph Guede bao moja dakika ya 37.
Simba wamepata bao moja kipindi cha pili kupitia kwa Michael Fred dakika ya 73 akitumia pasi ya Clatous Chama.
Yanga wanacheza kwa spidi kubwa wakishambulia mwanzo mwisho ndani ya uwanja.