Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam FC kiasi cha Dola 210,000 sawa na zaidi ya milioni 540 za kitanzania) ili aweze kuwa mchezaji huru.
Previous ArticleMAPILATO WA KARIAKOO DABI HAWA HAPA
Next Article YANGA: SIMBA WAKIJICHANGANYA KUKUTANA NACHO
Related Posts
Add A Comment