Mnyama anaondoka na pointi moja katika dimba la Félix Houphouët-Boigny, Abidjan kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas.
FT: Asec Mimosas 0-0 Simba SC
MSIMAMO KUNDI B
1. Asec — 11
2. Simba — 6
3. Jwaneng — 4
4. Wydad — 3
LEO KUNDI B: Jwaneng Galaxy vs Wydad AC