Yanga SC
-
KITAIFA
TANO BONGO ZAFUNGIWA USAJILI NA FIFA YANGA NDANI
TAARIFA kutoka Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa timu tano Bongo zimefungiwa kufanya usajili wao kwa wakati huu mpaka zitakapokamilisha malipo ya wachezaji…
Read More » -
BOXING
HUYU AZIZ KI NI MTAMBO WA KUVUNJA REKODI BONGO
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye…
Read More » -
BOXING
RASMI DUBE KUHAMIA YANGA, AZIZ KI HANA KABA, ATOBOA SIRI
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz amesema kama straika Prince Dube atatua kwenye timu yao, basi mashabiki wasahau suala ya…
Read More » -
BOXING
WAZIRI MCHENGERWA: HONGERA INJINIA HERSI KWA KUFANYA YANGA KUWA YA KISASA
“Nawashukuru sana Young Africans SC kwa kunialika kwenye mkutano wenu huu mkuu. Ni heshima kujumuika nanyi ikiwa nyie ni Klabu…
Read More » -
BOXING
YANGA YASHINDA TUZO YA TIMU BORA YA KIUME, WASHINDI WAPO HAPA WA TUZO ZA BMT 2023
Klabu ya Yanga imefanikiwa usiku wa kuamkia leo Juni 10, 2024 kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka…
Read More » -
BOXING
LEO NI LEO KWA MABINGWA WA NCHI YANGA
SIKU iliyokuwa inasubiriwa na Wanachama pamoja na viongozi wa Yanga imewadia ambayo ni leo Juni 9 2024 ambapo kutakuwa na mkutano mkuu. Yanga watafanya…
Read More » -
Featured
TAARIFA YA KIBWANA SHOMARI KUONDOKA JANGWANI!!
Kibwana Shomari bado hajafanikiwa kupewa mkataba mpya na Yanga licha ya mkataba wake kumalizika. Mazungumzo ya mkataba mpya hayajawa kwa…
Read More » -
BOXING
SIMBA NA YANGA WASHINDWE WAO TU KUMNYAKUA KIUNGO HUYU HURU
BAADA ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho timu zipo kwenye kusoma ripoti na kuangalia kipi ambacho watakifanya kuboresha timu zao kwa msimu wa…
Read More » -
BOXING
BACCA AMPA TANO GAMONDI
IBRAHIM Bacca beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Miguel…
Read More » -
BOXING
AZIZ KI AMECHANGANYA KINOMA
AZIZ KI kiungo mshambuliaji wa Yanga kahusika kwenye mabao 23 ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Wakati ubao wa Uwanja…
Read More »