Yanga SC
-
KITAIFA
YANGA YATANGAZA KUMUONGEZEA MKATABA WA MIAKA MIWILI
Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2026 nyota wao Farid Mussa raia wa Tanzania. Nyota huyo…
Read More » -
KITAIFA
KUMBE BADO AZIZ KI HAJASAINI MKATABA, ATOA MASHARTI MAZITO
Inadaiwa kuwa Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumuongeza mkataba wa kusalia klabuni hapo kiungo wao Stephane Aziz Ki ambaye…
Read More » -
KITAIFA
KWA WASHAMBULIAJI HAWA WAPINZANI WA YANGA HAWANA CHAO
Viongozi wa Yanga SC wamepambana kwelikweli kuhakikisha wanaboresha safu yao ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao na wanashusha vyuma kwelikweli. Za…
Read More » -
KITAIFA
FIFA YAIONDOLEA YANGA ADHABU YA KUFUNGIWA KUSAJILI WACHEZAJI
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Young Africans adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo…
Read More » -
KITAIFA
RAIS WA YANGA AMPOKEA MGENI WAKE ACHRAF KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO
Rais wa klabu ya @yangasc Mhandisi Hersi Said @caamil_88 amempokea Mgeni wake Achraf Hakimi @achrafhakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa…
Read More » -
KITAIFA
USAJILI WA YANGA NI BALAA ZITO, KAA MKAO WA KULA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15 2024. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel…
Read More » -
KITAIFA
OKRA: JANGWANI PAMEKUWA PACHUNGU, HAPAKALIKI
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo ndani au…
Read More » -
KITAIFA
THANK YOU ZA YANGA KUANZA JULAI 1
Akifunguka katika #KipengaXtra msemaji wa Yanga Ali kamwe amesema ” Tumepanga kuanzia tarehe moja mtaanza kushuhudia taarifa za kuboresha kikosi…
Read More » -
KITAIFA
HIZI HAPA REKODI ALIZOVUNJA AZIZ KI, NI BALAA
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati…
Read More » -
KITAIFA
YANGA YAFUNGUKIA AZIZ KI KUIBUKIA SIMBA
WAKATI jina la mfungaji bora ndani ya ligi msimu wa 2023/24 Aziz Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga likitajwa kuwa kwenye hesabu za watani…
Read More »