Yanga SC
-
KITAIFA
YANGA NA KMC KUKIPIGA MOROGORO, JUMAMOSI HII
Mtanange wa Yanga na KMC unatarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo, na utachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro huku Simba pia ikihusishwa…
Read More » -
AUDIO
MWAMBA ‘MUDATHIR YAHYA’ AMEWEKA REKODI HII YA BALAA
MWAMBA Mudathir Yahya ameweka rekodi ya kuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata…
Read More » -
AUDIO
HII HAPA SABABU YA OKRAH KUANZA KUVAA ‘KINYAGO’ UWANJANI
Unaweza kujiuliza maswali mengi baada ya kumuona kiungo mshambuliaji wa Yanga, Augustine Okrah ‘Magic’ akiwa amevaa kinyago kama cha straika…
Read More » -
AUDIO
BAADA YA KUONA KIWANGO CHA GUEDE GAMONDI AFUNGUKA HAYA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewakingia kifua washambuliaji wake akiwemo nyota mpya, Joseph Guede kuwa wanahitaji muda wa kuzoea…
Read More » -
AUDIO
MAKUBWA!!! IVORY COAST HAWAMJUI PACOME
Mchezaji ambaye anacheka katika kikosi cha Yanga nchini Tanzania ambaye ni raia ya Ivory Coast hajaonekana katika michuano ya kombe…
Read More » -
AUDIO
MOLOKO AZIDI KUTEMA NYONGO TANGU AACHWE YANGA
Aliyekua Kiungo Mshambuliaji ‘WINGA’ wa Young Africans, Jesus Moloko, amesema anaondoka Tanzania huku akiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindani uliopo…
Read More » -
AUDIO
YANGA KUSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU FUNGA KAZI
MWAMBA huyu hapa mshambuliaji wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni ingizo jipya katika dirisha dogo. Anaitwa Joseph Guede raia wa Ivory…
Read More » -
BURUDANI
BAADA YA KUACHWA YANGA, MOLOKO AFUNGUKA MAKUBWA
MUDA mchache baada ya kuachwa kwa winga, Jesus Moloko na Yanga kwenye dirisha hili la usajili kupisha usajili mpya winga…
Read More » -
BURUDANI
WINGA MOLOKO KUKUTANA NA THANK YOU
WINGA Jesus Moloko nyota wa Yanga anatajwa kuwa kwenye hesabu za kupewa mkono wa asante. Nyota huyo hajawa na nafasi kwenye kikosi cha Miguel Gamondi ndani…
Read More »