Browsing: Yanga SC

JOTO ya Kariakoo Dabi inazidi kupanda ambapo kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 Yanga wameweka wazi kuwa wapo tayari kupata matokeo ndani ya uwanja https://youtu.be/nkTXCzichlY

YANGA wanaondoka na faida ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni…

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA).…