KITAIFA
-
SIMBA WAJA NA JIPYA BAADA YA SARE DHIDI YA AZAM
BAADA ya kuambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Azam FC, mabosi wa Simba wamekuja na mpango kazi kwa ajili ya mechi…
Read More » -
MWAMBA ‘MUDATHIR YAHYA’ AMEWEKA REKODI HII YA BALAA
MWAMBA Mudathir Yahya ameweka rekodi ya kuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata…
Read More » -
ISHU YA KAYOKO NA LAWAMA ZA SIMBA IPO HIVI
Moja ya sifa ya mashabiki wa Simba ni utaratibu au upole… Lakini pia wana sifa ya ukorofi wanapochoka. Hili la kumkataa mwamuzi Kayoko si…
Read More » -
HII HAPA SABABU YA OKRAH KUANZA KUVAA ‘KINYAGO’ UWANJANI
Unaweza kujiuliza maswali mengi baada ya kumuona kiungo mshambuliaji wa Yanga, Augustine Okrah ‘Magic’ akiwa amevaa kinyago kama cha straika…
Read More » -
MSUVA ABEBESHWA ‘ZIGO LA MISUMARI’ KWA WAARABU
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva mwenye miaka 30, ameonja kwa mara nyingine utamu wa Ligi Daraja la Kwanza…
Read More » -
BAADA YA KUONA KIWANGO CHA GUEDE GAMONDI AFUNGUKA HAYA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewakingia kifua washambuliaji wake akiwemo nyota mpya, Joseph Guede kuwa wanahitaji muda wa kuzoea…
Read More » -
HII HAPA REKODI RAUNDI YA 8 SI MCHEZO
REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo…
Read More » -
MSUVA ATAMBA “SAUDI ARABIA ITANITAMBUA”
Mchezaji wa Tanzania, Saimon Msuva ambaye amesajiliwa na timu ya Al Najmah inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia…
Read More » -
HUU NI MUDA SAS WA KUFANYA KWELI NA KUPITA MALENGO
KAZI kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri. Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe…
Read More » -
MAKUBWA!!! IVORY COAST HAWAMJUI PACOME
Mchezaji ambaye anacheka katika kikosi cha Yanga nchini Tanzania ambaye ni raia ya Ivory Coast hajaonekana katika michuano ya kombe…
Read More »