KITAIFA
-
MCHEZAJI WA GEITA ATEKWA NA WATU WASIOJULIKANA
Klabu ya Geita Gold imetoa taarifa ya tukio lililomkuta mchezaji wao Geofrey Rafael (Geofrey Muha) siku ya jana tarehe 19-Feb-2024…
Read More » -
TANZANIA IMENG’ARA KAZAN, MTANZANIA AWA GUMZO
NI wazi kuwa Tanzania imeng’ara baada ya mwakilishi pekee kinda Mtanzania, Harrith Chunga Misonge mwenye umri wa miaka 12 kuwa gumzo. Misonge mkazi anaiwakilisha…
Read More » -
YANGA KWENYE KIBARUA MBELE YA POLISI TANZANIA
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad Jumamosi, Uwanja wa Mkapa,…
Read More » -
BAADA YA KUONA GUEDE ANAVYOCHEZA, KIEMBA KAGUNA WEEE..KISHA AKASEMA HILI
Mchezaji wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Amri Kiemba amesema kuwa atatoa maoni yake kuhusu mshambuliaji mpya wa…
Read More » -
YANGA WAJIPA UHAKIKA WA KUFUZU ROBO FAINALI
Meneja wa Habari na mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa endapo wakimfunga CR Belouizdad kwenye mchezo wa kundi…
Read More » -
HII HAPA TAREHE YA KUANZA KUJENGWA UWANJA MPYA WA ARUSHA
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Ally Mayay amesema waandaaji wa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027; Tanzania, Kenya…
Read More » -
JKT TANZANIA, NAMUNGO ZAGAWANA POINTI
JKT Tanzania imelazimisha sare ya 0-0 na Namungo leo katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. Matokeo haya…
Read More » -
AUCHO KWA MIKATO YA KIMYAKIMYA ANA BALAA
NYOTA wa kimataifa ndani ya Yanga, Khalid Aucho anaingia kwenye orodha ya namba sita watembeza mikato ya kimyakimya ndani ya uwanja kutokana na kuwa…
Read More » -
SIMBA INAPASWA KUBADILIKA KABISA MAMBO BADO
Inawezekana naona tofauti na wengi lakini naona kuwa lazima kuna mambo kadhaa ambayo Simba wanapaswa kubadilisha katika kikosi chao ili kukifanya kuwa bora… Mechi iliyopita…
Read More » -
TAWASIFU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD NGOYAI LOWASSA
Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu Asifiwe, Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh…
Read More »