KITAIFA
-
YANGA YAZIPANIA POINTI 3 KUTOKA KWA IHEFU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa wataingia kwa tahadhari kuwakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…
Read More » -
BREAKING: BENCHIKHA, KOCHA WA SIMBA ARUDI KWAO
Kocha wa Simba Abdelhak Benchikha ameondoka nchini leo kulekekea nyumbani kwao Algeria kwa ajili ya kozi ya siku tano kisha…
Read More » -
MANGUNGU: SIMBA HAIJAUZWA, HAITOUZWA, MUULIZENI YEYE MO DEWJI!
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji…
Read More » -
AZAM FC WAPINDUA MEZA KIBABE
AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya…
Read More » -
HIVI HAPA VIPIGO VIKUBWA ZAIDI KWENYE, LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Moja kati ya shindano kubwa Afrika ni shindano ambalo linawakutanisha mabingwa katika ligi kutoka kwenye nchi zilizomo katika bara hili…
Read More » -
SAMATTA AJENGA MSIKITI MKUBWA ZAIDI TANZANIA
Ule msikiti uliojengwa na nyota wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya PAOK ya Ugiriki, Mbwana Samatta umezinduliwa rasmi juzi…
Read More » -
TIMU ZILIZOPO HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SHIRIKISHO la mpira barani Afrika limetangaza kuwa litapanga hivi karibuni siku maalumu kwaajili ya kupangwa kwa tarehe maalum ya kufanyika droo ya kupata timu…
Read More » -
NAMNA MWAMBA PACOME ALIVYOWAVURUGA WAARABU
MWAMBA Pacome Zouzoa kiungo wa Yanga aliwavuruga Waarabu wa Algeria CR Belouizdad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutokana na…
Read More » -
AFRIKA SASA INAANZA KUTUTAMBUA SISI NI NANI
Ameandika Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma “Kuna mahala tumepafikia na mpira wetu. Bado tuna safari ya…
Read More » -
YANGA YARUDI NDANI YA JIJI LA DAR
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga a kimataifa Yanga wapo ndani ya ardhi ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zinazofuata kimataifa…
Read More »