KITAIFA
-
SIMBA YATOA TAMKO ZITO BAADA YA KUPOTEZA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa licha ya ubora ambao walikuwa nao wakipoteza mbele ya Al Ahly wana nafasi ya…
Read More » -
BENCHIKHA ATAJA SABABU YA KIPIGO CHA MNYAMA
Kocha wa Simba Abdelhak Benchikha, ameeleza kuwa kinachomgharimu ndani ya timu hiyo ni kukosa namba kubwa ya wachezaji wa daraja…
Read More » -
SIMBA KAZI WAIMALIZE KWA MKAPA, UGENINI NI BALAA
IKIWA Simba itakosa ushindi mbele ya Al Ahly angalau mabào manne Uwanja wa Mkapa inakwenda kuwa ngumu kwa sababu Al Ahly wakiwa Uwanja…
Read More » -
YANGA HAINA HOFU NA MAMELODI KWAO AMANI TU
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani.…
Read More » -
SIMBA HESABU KIMATAIFA KUONGEZA DOZI, AL AHLY KUTUA LEO
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa litawaongezea dozi wachezaji wao kwenye uwanja wa mazoezi kuwa imara zaidi katika mechi wanazocheza ikiwa ni pamoja na safu…
Read More » -
KAPOMBE: NJOONI MUONE SHOO YA KUMNYOOSHA MWARABU
NAHODHA Msaidizi wa Simba SC, Shomari Kapombe amesema wachezaji wa Simba wamejiandaa vizuri kuelekea kuwakabili Al Ahly SC na wana…
Read More » -
KISA KIBU: ROBERTINHO AMVAA UPYA BENCHIKHA
Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameshtuka kusikia taarifa kwamba straika wa Simba, Kibu Denis ‘Mkandaji’ kwa sasa hapati namba katika kikosi…
Read More » -
JEMEDARI:- MANARA ANAMTISHIA MPENJA KUMUHARIBIA KAZI AZAM TV….MZINGA AWE MAKINI
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Jemedari Said amemvaa Haji Manara baada ya kumsifia mtangazaji wa soka wa Azam TV,…
Read More » -
SERIKALI YATUMIA BILIONI 2.4 KUGHARAMIA TIMU ZA TAIFA
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024…
Read More » -
ONANA: SIMBA INAPIGA HESABU ZA KUANDIKA HISTORIA
WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema wapo tayari kuandika historia kwa kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi…
Read More »