KITAIFA
-
AZAM YAMKIMBIZA MWIZI KIMNYA KIMNYA, YABAKIZA ALAMA 5 TU
USHINDI wa mabao 2-0 ambao Azam imeupata usiku wa tarehe 14 April, Jumapili kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi dhidi ya…
Read More » -
YANGA YAENDELEZA DOZI KWA DOZI
YANGA wanaondoka na faida ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni…
Read More » -
KUZIONA SIMBA NA YANGA NI “BUKU TANO TU”
Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba maarufu kwa jina la ‘Kariakoo Derby’ ambao utachezwa…
Read More » -
YANGA KAMILI KUWAVAA SINGIDA FOUNTAIN GATE
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…
Read More » -
SIMBA YAKWAMA PIA KUONDOKA NA USHINDI MBELE YA IHEFU
mambo bado yamekuwa magumu kwa Simba ambapo leo wameondoka na sare ya dhidi ya Ihefu waliokuwa nyumbani kwenye mchezo wa…
Read More » -
SIMBA YAANDIKA REKODI KUBWA YA TATU
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imeandika rekodi yake ndani ya tatu bora kwa kuwa timu iliyoruhusu mabao mengi yakufungwa. Ipo wazi…
Read More » -
MASHUJAA WAPOKEA KICHAPO KUTOKA KWA COASTAL UNION
Mashujaa FC wakiwa nyumbani katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. imepokea kipigo kutoka kwa Coastal Union kipigo cha mabao 2-1.…
Read More » -
SIMBA, MALENGO YETU KWA SASA NI KUCHUKUA UBINGWA
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi.…
Read More » -
BOSI SIMBA: MATOKEO YANAUMIZA KWELIKWELI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa matokeo ambayo wanayapata yanaumiza kwelikweli kwa kuwa ni mabaya ndani ya muda mfupi. Ipo wazi kwamba Aprili 6…
Read More » -
YANGA YAFUNGIWA NA FIFA KUFANYA USAJILI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA).…
Read More »