KITAIFA
-
MASTAA WALIOFUNGA KARIAKOO DABI
NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.…
Read More » -
TETESI: NYOTA YANGA NA OFA KIBAO MEZANI
INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo ana ofa kibao mezani kwa timu mbalimbali…
Read More » -
HAWA HAPA KUPAMBANA ROBO FAINALI CRDB FEDERATION CUP
BAADA ya timu 8 kupata ushindi na kutinga hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup tayari kila mmoja katambua atacheza na nani katika…
Read More » -
WATAKAOKUTANA ROBO FAINALI CRDB FEDERATION CUP, KUJULIKANA LEO
CRDB Bank Federation Cup kwa sasa ni hatua ya robo fainali ambapo kila timu imetambua ilipogotea baada ya dakika 90 kwenye msako wa ushindi katika hatua…
Read More » -
WACHEZAJI WA SIMBA WAZOMEWA BANDARINI
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufanyika kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, leo kikosi cha Simba kimeanza safari kwenda…
Read More » -
AHMED ALLY:- HATA TUKICHEZA NA TIMU NDOGO LAZIMA TUFUNGWE, MAKOSA YANAJIRUDIA
Meneja wa Habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha makasiriko na badala yake waungane Pamoja…
Read More » -
KUMBE STAA HUYU YANGA..ALIKUWA ANALIPWA LAKI SITA TU…APANDISHIWA HADI 12M
Kwa kipindi cha hivi karibuni Ligi yetu imekuwa na ubora mkubwa hasa baada ya klabu mbili za Simba na Yanga kuanza kufanya…
Read More » -
SIMBA KUELEKEA ZANZIBAR KWENYE MAANDALIZI YA DABI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa maandalizi ya mechi zake zote ziazofuata ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja…
Read More » -
NINJA AFUNGUKA A-Z ISHU YA FEI TOTO, KUMBE ALIMCHANA KIONGOZI YANGA
BEKI wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuna jambo amejifunza kutokana na kupata nafasi ya kucheza nje kwa awamu mbili…
Read More » -
KUELEKEA KARIAKOO DABI YANGA WAPIGA MKWARA MZITO
JOTO ya Kariakoo Dabi inazidi kupanda ambapo kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 Yanga wameweka wazi kuwa wapo tayari kupata matokeo ndani ya uwanja
Read More »