KITAIFA
-
LIGI KUU BARA KIVUMBI KINGINE LEO
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa msimu wa 2023/24. Aprili 26 ikiwa ni kumbukizi ya miaka 60…
Read More » -
SIMBA QUEENS AENDELEZA UBABE MBELE YA YANGA
KATIKA Ligi ya Wanawake Simba Queens imepeta mbele ya Yanga Pricess kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya…
Read More » -
MWAMNYETO: ATAJA SABABU ZA KUONDOKA NA POINT MOJA MBELE YA JKT
BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa moja ya sababu kubwa iliyofanya wakakosa ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT…
Read More » -
MOTO WA YANGA WAIKUMBA LIGI KUU MOROCCO, NABI AFANYA MAAJABU HAYA
Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat. Hadi sasa FAR…
Read More » -
SIMBA KWENYE KAZI LEO MUUNGANO
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24,…
Read More » -
JKT TANZANIA NGOMA NGUMU MBELE YA YANGA
LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana…
Read More » -
JOB NA BACCA KATIKA VITA YA KIPEKEE YANGA
BEKI wa kazi ngumu Dickson Job tuzo ya beki bora inanukia kwake kwa mara nyingine tena kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo katika timu hiyo.…
Read More » -
SIRI YA FEISAL KUTUPIA SANA AZAM, HII HAPA
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ameweka wazi kuwa bora ndani ya uwanja ni kufuata maelekezo ya mwalimu. Fei amekuwa bora…
Read More » -
JKT TANZANIA VS YANGA KUPANGIWA TAREHE
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Aprili 23 2024 Uwanja wa Meja…
Read More » -
YANGA WANA KIBARUA KINGINE LEO DHIDI YA JKT
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Yanga Aprili 20 2024 imetka kukomba…
Read More »