KITAIFA
-
LIGI KUU BARA: MASHUJAA 0-1 YANGA
FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Lake Tanganyika Mashujaa 0-1 Yanga Goal Joseph Guede dakika ya 41. Bao la Joseph…
Read More » -
“AZIZ KI AMTEKETEZA CHAMA” MCHAMBUZI…AMEFUNGUKA HAYA A-Z
Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini, Juma Ayo amesema bila Yanga kumsajili kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki basi mpaka sasa Watanzania wangeamini…
Read More » -
HAWA HAPA WABABE NDANI YA NUSU FAINALI
WABABE wanne ndani ya CRDB Federation Cup safari imekamilika tayari kwa kila timu kutambua mpinzani wake hatua ya nusu fainali. Yanga ni mabingwa watetezi…
Read More » -
NYOTA WA SIMBA WANAPITIA KATIKA HALI YA KUPANDA NA KUSHUKA
KWA upande wa wachezaji wa Simba viwango vyao kwa sasa ni maji kupwa maji kujaa, mchezaji anaweza kucheza mchezo wa leo vizuri kesho akawa…
Read More » -
YANGA NDANI YA KIGOMA KUWAKABILI MASHUJAA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kituo kinachofuata ni dhidi ya Mashujaa ya Kigoma ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga imetoka…
Read More » -
SIMBA 2-0 MTIBWA SUGAR, AZAM COMPLEX
FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex Simba 2-0 Mtibwa Sugar Goal Michael Fred dakika ya 35. Saleh Karabaka…
Read More » -
KIVUMBI KITAWAKA KWA MKAPA MZIZIMA DABI
ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi. Ni…
Read More » -
AZAM FC KUPAMBANA DHIDI YA NAMUNGO
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
Read More » -
TAMKO LA SIMBA ISHU YA KIBU DENNIS
WAKATI tetesi zikieleza kuwa Kibu Dennis kagomea kuongeza dili jipya ndani ya timu hiyo akiwa na ofa zaidi ya tatu mezani…
Read More » -
USIYEMPENDA KAJA…AZIZ KI KUBEBA TUZO HIZI BONGO…USTAA WALETA MAJIVUNO
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu…
Read More »