KITAIFA
-
SIMBA BADO HAIJABADILIKA HATAKAMA IMESHINDA DHIDI YA AZAM
LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo…
Read More » -
AZAM FC WATOA TAMKO HILI ISHU YA KUPOTEZA MBELE YA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walipata katika Mzizima Dabi dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024. Katika mchezo…
Read More » -
SIMBA: TULICHAFUKWA KWELIKWELI, MAMBO YALIKUWA HAYAENDI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa ulikuwa kwenye wakati mgumu katika kutafuta matokeo hivyo kuja kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kumetuliza…
Read More » -
MZIZIMA DABI AZAM FC YAPOTEZA POINTI TATU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamepoteza pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda katika mchezo wa…
Read More » -
HILI HAPA FAILI LA LIGI KUU LAVUJA…DAKIKA 450 ZA MTAFUTANO LIGI KUU…MAKOCHA 11
Wakati zikisalia mechi tano kumaliza Ligi Kuu msimu wa 2023/24, presha ipo kwa timu 11 ambazo zinapaswa kuchanga vyema karata zake ili kubaki…
Read More » -
AZIZ KI AMECHANGANYA KINOMA
AZIZ KI kiungo mshambuliaji wa Yanga kahusika kwenye mabao 23 ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Wakati ubao wa Uwanja…
Read More » -
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba…
Read More » -
MAAMUZI MAGUMU! SIMBA YATOA MASHARTI MAZITO KWA KIBU, MWAMNYETO – MWANASPOTI LEO
Usipitwe na kali tu zilizochomoza kwenye anga la kimichezo Alhamisi hii, Mei 9, 2024 Pitia ukurasa wa mbele na ujipatie…
Read More » -
MZEE WA BOLI ITEMBEE NA DAKIKA 270 ZA MOTO
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba katika mechi tatu ambazo ni dakika 270 ameshuhudia timu hiyo ikiambulia sare moja, ikishinda mechi mbili. Ni dakika…
Read More » -
YANGA WAMEAMUA KUMALIZANA NA MASHINE ZA KAZI MAPEMA
MABOSI wa Yanga wapo kwenye hesabu za kukamilisha mipango wa kuboresha kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwa…
Read More »