KITAIFA
-
WAZIRI MCHENGERWA: HONGERA INJINIA HERSI KWA KUFANYA YANGA KUWA YA KISASA
“Nawashukuru sana Young Africans SC kwa kunialika kwenye mkutano wenu huu mkuu. Ni heshima kujumuika nanyi ikiwa nyie ni Klabu…
Read More » -
YANGA YASHINDA TUZO YA TIMU BORA YA KIUME, WASHINDI WAPO HAPA WA TUZO ZA BMT 2023
Klabu ya Yanga imefanikiwa usiku wa kuamkia leo Juni 10, 2024 kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka…
Read More » -
SIMBA YAKAMATIA REKODI HII BONGO
LICHA ya kugotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiungana…
Read More » -
UONGOZI WA AZAM FC UPO KAMILI GADO KIMATAIFA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo kamili gado utapambana kufanya vizuri kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja…
Read More » -
LEO NI LEO KWA MABINGWA WA NCHI YANGA
SIKU iliyokuwa inasubiriwa na Wanachama pamoja na viongozi wa Yanga imewadia ambayo ni leo Juni 9 2024 ambapo kutakuwa na mkutano mkuu. Yanga watafanya…
Read More » -
MWAMBA SAIDO ATAJWA COASTAL UNION
MKALI wa mabao ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 Saido Ntibanzokiza anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa…
Read More » -
TAARIFA YA KIBWANA SHOMARI KUONDOKA JANGWANI!!
Kibwana Shomari bado hajafanikiwa kupewa mkataba mpya na Yanga licha ya mkataba wake kumalizika. Mazungumzo ya mkataba mpya hayajawa kwa…
Read More » -
UCHEBE WA SIMBA AULA SINGIDA BLACK STARS
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Aussems ametambulishwa ndani ya kikosi cha Singida Black Stars SC…
Read More » -
AZAM FC YAMALIZANA NA MTAMBO WA MABAO
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo wamemalizana na mtambo wa mabao kutoka Mashujaa…
Read More » -
UJIO WA SIMBA MPYA, WANASIMBA MJIANDAE KWA KICHEKO
BAADA ya Simba kugotea nafasi ya tatu msimu wa 2023/24 na pointi zake 69 kibindoni benchi la ufundi limebainisha kuwa kuna…
Read More »